+10 344 123 64 77

Sunday, October 9, 2016


Saturday, October 1, 2016

Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenyefollowers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi.

Saturday, August 13, 2016

MWANADADA anayefanya poa kwenye game la muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefungukia maana halisi ya tatuu zake mpya alizojichora baada ya kufuta zile za awali ikiwemo ile ya X- wake, Nuh Mziwanda.
Shilole-3

Shilole aliiambia safu hii kuwa, mbali na zile zinazosomeka kama jina lake la Shishi, zile za Kichina ni alama za kimuziki ambazo zinaonesha jinsi anavyoipenda kazi yake.
Shilole-4
“Tatuu zangu zimechorwa kwa lugha ya Kichina na Kiingereza, hii ya bega la kulia ni jina langu la Shishi Baby na hizi nyingine za Kichina ni ala za muziki kuonesha hisia zangu za dhati juu ya muziki na nimefuta zile za zamani zote,” alisema Shilole.
Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kuwataka wasanii ambao wanachipukia na wale ambao wapo kwenye muziki wafikiri kufanya mambo zaidi yake na wasifikirie au kuwaza kuwa kama Diamond Platnumz.
Diamond843
Diamond Platnumz alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema wasanii ambao watakuwa wakimuwaza yeye watakuwa watumwa wake, lakini kama watafikiria kufanya vitu zaidi yake itasaidia kwani itafanya kila mtu kuwa na njia yake na kuweza kufanikiwa zaidi katika muziki wao pamoja na maisha kiujumla.
“Mimi nataka kuwaambia wasanii wafikirie kufanya vitu vikubwa zaidi wasifikirie kuwa kama Diamond Platnumz, maana kama watakuwa wanafikiria kuwa kama mimi watakuwa watumwa wa muziki wangu na maisha yangu, mfano unafikiri Wizkid angeamua wa ‘copy’ P Square ingekuwaje? Jibu angekuwa mtumwa wa P Square lakini kwa kuwa alitoka kivyake vyake ndiyo maana saizi Wizkid anafanya vizuri zaidi hata ya P Square ulimwenguni” alisema Diamond Platnumz.
Mfalme wa muziki wa taarabu mzee Yusuph maarufu kama “mfalme wa taarabu” amefunguka na kusema kuwa sasa ameamua kuachana na muziki huo na kumrudia Mungu huku akiwataka watanzania pia kumrudia Mungu.
Mzee
Mzee Yusuph akiwa ana swali nyumbani kwake.
Akiongea na eNewz baada ya kutoka msikitini Mzee Yusuph amesema kwa taarifa za awali watanzania wanatakiwa kutambua kuwa yeye ameachana na muziki na sasa amemrudia Mungu na kuwataka kuwa na subira kwani atatafuta siku maalum yeye kutangaza suala hilo ambapo atafunguka kwa kirefu zaidi kwanini ameamua kufanya maamuzi hayo.
“Ni kweli nimeamua kuachana na muziki na sasa nimemrudia Mungu, nawaomba watanzania wengine pia wamrudie Mungu, nitatafuta siku ambayo nitaongea kwa kirefu zaidi juu ya suala hili, hivyo watanzania watambue tu nimeachana na muziki sasa” alisema Mzee Yusuph.
Hii ni mara ya pili kwa mzee Yusuph kutangaza kuacha muziki kwa mara ya kwanza ilikuwa mwaka jana, alitangaza kuacha muziki na kuingia kwenye siasa lakini hakuweza kufanya vizuri kwenye siasa na kurudi tena kwenye muziki.
Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, August 12 2016 ametangaza kubadili maamuzi kuhusu soka la kimataifa, baada ya awali kutangaza kustaafu kuichezea Argentina.
Messi alitangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Copa America 2016 dhidi ya Chile na kupoteza mchezo huo, kutokana na Messi kupoteza fainali yake ya tatu mfululizo akiwa na Argentina aliamua kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa.
August 12 2016 chama cha soka cha Argentina AFA kimetangaza Lionel Messi kubadili maamuzi yake na kuwa ataendelea kuichezea timu ya taifa ya Argentina kama kawaida, June 27 2016 Argentina alicheza mchezo wa fainali ya Copa America dhidi ya Chile na kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-2.
Argentina's Lionel Messi celebrates after scoring a free-kick against Panama during the Copa America Centenario football tournament in Chicago, Illinois, United States, on June 10, 2016.  / AFP / OMAR TORRES
Argentina's Lionel Messi celebrates after scoring a free-kick against Panama during the Copa America Centenario football tournament in Chicago, Illinois, United States, on June 10, 2016.  / AFP / OMAR TORRES
Statement ya AFA iliyothibitisha kurejea kwa Lionel Messi timu ya taifa

Tuesday, August 9, 2016

NI Headlines za msanii kutoka zao la Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amefunguka kueleza namna milioni 50 alizoshinda kwenye shindano la Bongo Star Search zilivyotumika.
Msanii huyo aliipata heshima millardayo.com na Ayo TV na kuyaongea haya>>>>’Kiasi nilichokichukua kilikuwa ni milioni 50 ambazo zimetumika katika matumizi yangu ambapo sasa hivi niko kwenye ujenzi wa nyumba yangu mpya iliyopo maeneo ya Mbagala na pia nimenunua usafiri wangu mpya wa kuzunguka hapa na pale kwenda studio na sehemu zingine’- Kayumba
NI Headlines za msanii kutoka zao la Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amefunguka kueleza namna milioni 50 alizoshinda kwenye shindano la Bongo Star Search zilivyotumika.
Msanii huyo aliipata heshima millardayo.com na Ayo TV na kuyaongea haya>>>>’Kiasi nilichokichukua kilikuwa ni milioni 50 ambazo zimetumika katika matumizi yangu ambapo sasa hivi niko kwenye ujenzi wa nyumba yangu mpya iliyopo maeneo ya Mbagala na pia nimenunua usafiri wangu mpya wa kuzunguka hapa na pale kwenda studio na sehemu zingine’- Kayumba
Bado headlines za usajili zinazidi kuchukua nafasi barani Ulaya, tayari tumeshuhudia mastaa kadhaa wakivihama vilabu vyao na kujiunga na vingine, kwa upande wa Englandjina la winga wa kiwamataifa wa Algeria anayeichezea klabu ya Leicester City  Riyad Mahrez limerudi tena kwenye headlines za usajili.
Ufaransa kupitia mtandao wa EuroSport wameandika stori kuwa winga huyo amesema anataka kujiunga na Arsenal ya London na sio Chelsea, kwa mujibu wa EuroSportMahrez ana lengo la kujiunga na Arsenal ila hajataka kuweka wazi.
Licha ya mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha kutangaza wiki kadhaa kuwa Mahrez ataendelea kubakia King PowerEuroSport wamezidi kuzipa uzito headlines za staa huyo kuhama King Power na kujiunga na Arsenal.

Wednesday, June 15, 2016



J
vya TV Afrika, na ndio maana inawapa hamasa wasanii wa nyumbani kufanya video yenye viwango vya kimataifa.
Naanza kukusogezea list ya video ambazo zimechezwa kwenye vituo vikubwa vya TV Afrika, Trace TV na Mtv Base.
1. Ngoma hii ya Ali kiba -Lupela imechezwa leo Mtv Base, Video hii imewekwa youtube Feb 7, 2016 na imepata viewers 1,783,066 mpaka sasa.
20160614_140737
2. Mdundo huu wa Vanessa Mdee -Niroge imechezwa Trace Tv na Mtv Base inaendelea kufanya vizuri katika vituo hivi vya kimataifa imewekwa youtube  Mar 24, 2016 na mpaka sasa umeangaliwa na watu 170,064,077 mpaka sasa.
20160614_133655
20160614_192505
3. Ngoma ya Nedy Music ft Ommy Dimpoz imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube  May 8, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,189,268.
20160614_205327
5. Navy Kenzo ft Vanessa Mdee -Game imechezwa Mtv Base na imewekwa youtube Jul 24, 2015 na kuangaliwa na watu 1,025,670 mpaka sasa.
20160614_135953
6. Ngoma ya Ali Kiba-Aje imechezwa Mtv Base na youtube imewekwa  May 19, 2016 na mpaka sasa ina viewers 1,591,267.
20160614_140038
7. Mayunga ft Akon – Please don’t go away imechezwa Trace Tv na imewekwa youtube May 20, 2016 na mpaka sasa ina viewers 350,561.
20160614_234432
8. Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix imechezwa Trace Tv, video hii imewekwa youtube  Jan 22, 2016 na ina viewers 6,436,710 mpaka sasa.
20160614_143638

Sunday, May 29, 2016

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Alikiba almesema wimbo huo hajamuimbia Jokate na wala hajawahi kumuimbia mtu yeyote, bali aliimba kwa ajili ya mashabiki wake.
kiba233
” Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu”,.
Lakini pia Alikiba alisema kuwa kitendo cha kuwataja wasanii wa Filamu Wema Sepetu na Lulu kwenye wimbo huo, ilikuwa ni suprise, hivyo wenyewe hawakujua kuwa wameimbwa, isipokuwa alishawahi kumdokeza Wema Sepetu ambaye ametaja kuwa ni rafiki yake mkuabwa.
“Wenyewe walikuwa hawajui kuwa nimewaimba, ila Wema nilimwambia siku moja kuwa bichwa nina suprise yako, ila Lulu sikuwahi kumwambia na hata sijui ameipokeaje, ila naamini kaipokea fresh”, alisema Alikiba.
Kitu ambacho bado kinawapa kigugumizi watu ambao walikuwa wakifuatilia kipindi hicho, pale aliposhindwa kuchagua kati ya Wema Sepetu na Jokate, na kusema anawachagua wote, na kuzidi kuweka hali ya sintofahamu kwa wawili hawa (KIba na Jokate) huenda bado wako pamoja.