+10 344 123 64 77

Friday, August 21, 2015

DAAAAH!!!! SASA HAYA NDIO VIDEO ZA KANGA MOKO AMBAZO ZIME MAKE HEAD LINE HAPA BONGO.......




Wadau pia wameshangazwa na ukimya unaoonyeshwa na viongozi wa Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) juu ya hawa wasichana wanaojiita >>>Kanga moja, Kitu tigo na Baikoko<<kwani wamekuwa ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa jamii inayotuzunguka, wamekuwa wakizungu sehemu mbalimbali hapa nchini wakifanya matamasha tena katika kumbi mbalimbali ambazo zimekuwa zikitambulika na afisa utamaduni pia anatoa kibali cha show husika! 

0 comments:

Post a Comment