====>>Nashindwa kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi.. Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?>>>===–@rayc1982
Wana maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika unaambiwa imekuwa kama shule“>>>=== –@rayc1982
Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“>>>====–@rayc1982
0 comments:
Post a Comment