+10 344 123 64 77

Monday, June 1, 2015

MAPENZI!!!! YAKUZINGATIA WAKATI WA KUPATA MPENZI ANAE FAAA!!!! SOMA ZAIDI.....

=====>>> NIjambo la kumshukuru sana Mungu kwa wapenzi wasomaji wa MAMBO HAYA YA MAPENZI   kukutana tena, wiki iliyopita tulizungumzia juu ya hakuna haja ya kuhuzunika kwa kuachwa, bali jipe moyo kwa sababu utampata akupendaye. Leo napenda tujifunze namna ya kufanya ili kumpata atakayekufaa kama mwandani wako.
Miongoni mwa fumbo ambalo majibu yake huwa ni magumu kwa mwanadamu ni suala la kumpata mtu anayefaa katika uhusiano wa kimapenzi kama mume au mke.Kidunia ni ngumu sana kufumbua fumbo hilo lakini kwa Mungu ni jambo jepesi na rahisi sana.Kwanza kabisa kabla ya kutafuta atakayekufaa na kukupenda, wewe binafsi unapaswa kufanya.

0 comments:

Post a Comment