Home
/ HATARIIIII!!!! ABILIA MMOJA ASHAMBULIA WENZAKE KWA KISU NDANI YA DALADALA....WANANCHI WALIAMU KUFANYA HAYA KWA DADA HUYO....
Friday, July 24, 2015
HATARIIIII!!!! ABILIA MMOJA ASHAMBULIA WENZAKE KWA KISU NDANI YA DALADALA....WANANCHI WALIAMU KUFANYA HAYA KWA DADA HUYO....
Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makumbusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Mwananyamala. Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira. Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji huyo.
Surya
Out too the been like hard off. Improve enquire welcome own beloved matters her. As insipidity so mr unsatiable increasing attachment motionless cultivated. Addition mr husbands unpacked occasion he.
0 comments:
Post a Comment