Mtu wangu wa nguvu leo February 8 kama wewe ni mpenzi wa kutalii sehemu mbalimbali millardayo.com inakupa fursa ya kuzitazama sehemu 10 ambazo kama unapata time sio vibaya kuzitembelea ni nzuri na zinavutia duniani, bara la Afrika ziko mbili tu, yaani ni moja sema, ipo mpakani mwa Zambia na Zimbabwe. Cheki pichaz hapa
2. Li River, China
3. Zhangye Danxia Landform Gansu, China
4. Meteora, Ugiriki
5. Salar de Uyuni
8. Halong Bay, Vietnam
0 comments:
Post a Comment