+10 344 123 64 77

Tuesday, February 9, 2016

video...Joh Makini on stage Iringa….. Promota alizidiwa hapa mpaka akaongeza kiingilio

Ni Joh Makini kwenye stage Iringa Tanzania…. anasema hii ni moja ya show alizowahi kufanya ndani ya January (mwezi dume) na zikauza ticket mpaka Promota akaamua kuongeza kiingilio baada ya kuona watu wanazidi kuingia, tazama hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment