+10 344 123 64 77

Monday, May 11, 2015

HABARI!!! STYLE MPYA YA WOLPER YAVUTA WATU====>>angali zaidi hapa



ikionekana kwa juu


                                                         kwenye miguu sasa

Staa wa Bongo Movies  ambaye anasifika kwa urembo na kazi zake, Jacqueline Wolper hivi juzi kati kwenye ukurasa wake  mtandaoni alibandika picha hizo hapo juu akiwa amevalia style ambayo iliwafanya mashabiki wengi bonyeze kitufe cha LIKE na kushusha comment nyingi huku kila mtu akielezea ni jinsi gani ameguswa na mtindo huo aliotupia.
Kwa maneno ya lugha yta malkia, Wolper aliandika “Fashion is just another accessory for someone with great style...” na kuweka picha hizo.

0 comments:

Post a Comment