+10 344 123 64 77

Thursday, June 18, 2015

WEMA SEPETU!!!! WAZAZI WALIANIAMBIA NIINGIE KWENYE POLITICS...... SASA NAINGIA VITANI BILA KUSITA

Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja  na Marehemu baba yake.
>>>>>Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya. Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa.
Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya... Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu.
Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World wake.... Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa... And I remember nilimwambia ,"Daddy Sepetu NO sitoweza<<<<<... Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya International Business na sio hata Political science au chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo... But hakukata tamaa... Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa... Daddy Sepetu wangu This is for u....

0 comments:

Post a Comment