Anaitwa Ciara Princess Harris staa mwenye hits kibao kwenye chati ya muziki ndani ya hii dunia….. ambae sasa amerudi na mfululizo wa hits ikiwemo hii ya ‘Dance Like We’re Making Love... baada ya ‘I bet;
Kwenye hii video hapa chini kuna kipisi cha jinsi zilivyokua zikitengenezwa ambapo hii ya kwanzia ni kupitia mikono ya director Dave Meyers na chini ya hiki kipisi kuna video yake yote baada ya kukamilika.
0 comments:
Post a Comment