+10 344 123 64 77

Monday, August 10, 2015

MICHEZO Full time ya Liverpool VS Stoke City imeisha hivi… (+Video)



Kiko hapa na kipande cha video kinachoonesha goli lilivyofungwa


Kipindi cha pili Liverpool walimuingiza mshambuliaji wao mpya Robert Firmino ambaye alishirikiana vizuri na Mbrazil mwenzie Coutinho katika mashambulizi ya Liverpool… zilipobaki kama dakika 4 kabla ya mchezo kumalizika, Coutinho alifunga goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo.

0 comments:

Post a Comment