+10 344 123 64 77

Monday, August 10, 2015

Kilichowakuta Arsenal dhidi ya West Ham hiki hapa… Newcastle United VS Southampton je?..BOFYA KUPATA VIDEO YAO HAPA (+Video)

Ligi kuu ya Uingereza Baclays Premier imeendelea Jumapili August 09 2015 kwa mchezo uliowakutanisha mahasimu wa mji wa London, Arsenal dhidi ya wagonga nyundo wa West Ham United.

Mchezo huo umemalizika kwa West Ham United kuibuka kifua mbele kwa kuifungaArsenal magoli 2-0. 
Koyaute alianza kuifungia goli West Ham katika dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza, kabla ya Zarate kufunga goli la pili na kuhitimisha ushindi muhimu dhidi ya vijana waArsenal Wenger.
Unaweza kuangalia video uinayoonesha magoli yote yalivyofungwa hapa mtu wang

0 comments:

Post a Comment