+10 344 123 64 77

Friday, August 21, 2015

JAMBO LA KHERI ILA NI LAKUSTAJABISHA...HEBU BOFYA KUTAZMA HAPA PICHA YA NDOA YAO.....

SHANGWE! Katika tukio linalotokea kwa nadra, wazee kumi ambao wameishi kinyumba kwa miaka mingi,Jumamosi iliyopita walibariki ndoa zao katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, lililopo Tungi mkoani Morogoro, huku zoezi hilo likitikisa kila kona ya mjini hapa.

0 comments:

Post a Comment