+10 344 123 64 77

Friday, August 21, 2015

DUUUUUUUUUUU!!!!! HII SASA KALI.......INAWEZEKANA VIPI?????? BOFYA KUJUA ZAIDI

HALI si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu akihusishwa na kuvunjika kwa ndoa ya mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul >>>Diamond Platnumz<<< almaarufu kwa jina la Esma Platnumz aliyeolewa na Hamad Manungwa ‘Petit Man’.

0 comments:

Post a Comment