+10 344 123 64 77

Saturday, May 16, 2015

LAMATA:: NAJIVUNIA KUWA NA WWASANII NA WAMEFANIKIWA======>> SOMA ZAIDI

Lamata: Najivunia Kusimamia Wasanii na Kufanikiwa

 Ambae Muongozaji na mtunzi mahiri wa filamu Bongo Leah Mwendamseke ‘Lamata’ amefunguka kwa kujivunia kumiliki wasanii wanaofanya vizuri chini ya usimamizi wake, akiongea na Mwanaspoti meneja huyo wa wasanii Kajala Masanja, Jack Wolper na wengine anafurahi toka kuwasimamia wasanii wamekuwa nyota katika tasnia ya filamu.
“Nakaa nao vizuri na kuwaelekeza jinsi tasnia ya filamu inavyowakata wafanye kazi, nashukru wananiheshimu na kufanya nao kazi, kitu ambacho naamini wazi ukiniweka katika tuzo yoyote kama muongozaji lazima niibuke mshindi kwa ubora wa kazi zangu,”anasema Lamata.

0 comments:

Post a Comment