Home
/ MSANII WEMA SEPETU ASEMA HAYA KUHUSU SHERIA MPYA YA MITANDAONI====soma zaidi
Thursday, May 7, 2015
MSANII WEMA SEPETU ASEMA HAYA KUHUSU SHERIA MPYA YA MITANDAONI====soma zaidi
Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii. Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli kunahitahija Kuwa na laws in place Za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime to an extend. Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao kwa kuumizana kwa njia ya matusi na kuchafuana, wana siasa wetu waliopitisha hii Sheria ya cybercrime pia wameitumia vibaya hii Sheria na kuitumia kama silaha ya kumfunga mdomo mtanzania.
Surya
Out too the been like hard off. Improve enquire welcome own beloved matters her. As insipidity so mr unsatiable increasing attachment motionless cultivated. Addition mr husbands unpacked occasion he.
0 comments:
Post a Comment