+10 344 123 64 77

Friday, May 15, 2015

WEMA:: NIMERUDI KIVINGINE SASA======>>soma zaidi

Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Mzigoni Akiwa na JB

Staa na  mrembo wa Bongo Movies, Wema  Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya  inayokwenda kwa jina la  Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen  'JB' wakiwa lokesheni
Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu. hiyo mpya!!! wema sepetu ni moja ya wasanii wanaojiamini na wenye uwezo wa juu sana!!!!

0 comments:

Post a Comment