NI Katika hatua isiyokuwa ya kawaida staa wo bongo movies, Mahsen Awadh ‘Dr Chen’ ameleza kuwa mkewealidhani angeolewa.
Dr Cheni aliandika kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwa mkewe aliipinga filamu ya “Nimekubali Kuolewa kwa kudhani Cheni ataolewa kweli.
Filamu hiyo ilikuwa imezuiwa na Bodi ya ukaguzi wa Filamu ambayo imeiruhusu kutoka baada ya kufanyiwa marekebisho.
“Wife naye ameiruhusu movie itoke nimemwelewesha kuwa sijaolewa kweli nimeolewa kimovie tu amekubali itoke dah ndoa hizi”-Dr Cheni ameandika.
Aliongeza “Dah kwa jinsi serikali ilivyoizuia hii movie leo(majuzi) imetoka kweli Mungu ni mkubwa asante Mungu”.
Filamu ya Nimekubali Kuolewa ipo madukani, mdau jipatie nakala yako halisi.
NDANI YA KIU
0 comments:
Post a Comment