+10 344 123 64 77

Tuesday, February 9, 2016

BONGE LA NGOMA: Nay wa Mitego anakualika kuisikiliza hii ‘Shika adabu yako’

Baada ya kutamba tena na hit song ya ‘Nyumbani kwetu’, Staa wa bongoflevani Nay wa Mitego tayari amekusogezea tena good music nyingine na hii inaitwa ‘Shika adabu yako
shika adabuuuu
Sasa ni time yako kuenjoy nayo kwa kubofya hapa chini kwenye hii link na itakupeleka moja kwa moja kuisikiliza au kuipakua..bit.ly/ShikaAdabuYako

0 comments:

Post a Comment