+10 344 123 64 77

Thursday, November 5, 2015

BREAKING NEWS!!!!! ALIEKUWA RAISI MTEULE WA AWAMU YA TANO APISHWA LASMI LEO



Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es-salaam

0 comments:

Post a Comment