+10 344 123 64 77

Tuesday, February 9, 2016

MICHEZONI...Licha ya The Sun kuripoti Man United wanampango na kocha wa Spurs, Mourinho kawaambia hivi rafiki zake

Wakati gazeti la The Sun Sport la February 9 likiripoti kuwa klabu ya Man Unitedimehamishia nguvu zake kwa kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Mauricio PochettinoFebruary 10 magazeti ya Mirror, Mail na Star yameripoti stori tofauti na The Sun iliyoandikwa February 9.
Stori zilizoingia kwenye headlines February 10 ni kuwa Jose Mourinho ameshawathibitishia marafiki zake kuwa kazi ya kuifundisha Man United ni yake, Jose Mourinho ameripotiwa kwa wiki kadhaa sasa kuwepo na mpango wa yeye kumrithi kocha wa sasa wa Man UnitedLouis van Gaal mwishoni mwa msimu. Mtu wangu wa nguvu hizi ndio kurasa za MirrorStarna Mail zilizoandika stori ya dili la Mourinho kujiunga na Man United kukamilika.
CazpUSGW8AAZcKACazpU_6W0AAGAD1CazkJBeWwAA7sxJ
Un

0 comments:

Post a Comment