Kuna watu bwana akili zao sijui hata zipoje.?? eti mtu tu ananitumia sms anadai kwamba kutokana na unavyoigiza kama mtumiaji wa madawa ya kilevya ( TEJA ) Acha kwa sababu watoto wetu mtaani wanakuiga matokeo yake wanakuwa mateja kweli.....Ebu jamani nisaidieni watu kama hawa wanaonitumia sms za namna hii mimi niwajibu vipi???
naomba msaada wwa kimawazo hapo
0 comments:
Post a Comment