NI Muigizaji na muongozaji wa filamu, Deogratious Shija amekuja na filamu mpya ya >>Love and Pain<< ambayo imetoka wiki iliyopita akimshirikisha Kajala Masanja.
Shija ameeleza kuwa filamu hiyo inahusu mapenzi na imekuja ili kuvunja kimya chake cha mudda mrefu kitu ambacho kinafanya mashabiki wake kujua kuwa ameishiwa kisanaa.
Shija amesema katika filamu hiyo amewashirikisha wakali kama Hemed PHD, Kajala na Yvone Bigilwa.
0 comments:
Post a Comment