+10 344 123 64 77

Monday, May 18, 2015

IN MOVES!!! FILAMU MPYA YA SIO DILI IKIELEZEA MAUAJI YA ALBINO YAINGIA SOKONI

Filamu ya 'Sio Dili' Inayoongelea Tatizo la Mauaji ya Albino Kuingia Sokoni

    NI  Kampuni ya K Films Production ya jijini Dar es Salaam inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua ya Sio Dili inayoongelea tatizo la mauaju ya Albino Tanzania ambayo yanatikisa nchi nzima, akiongea na FC amesema kuwa sinema hiyo ni funzo.
    “Filamu ya Sio Dili ni kazi yangu katika harakati za kupambana na mauaji ya Albino ambayo yanahusisha imani ya kishirikina ni kazi nzuri inayoelimisha jamii kuachana na imani potofu,”anasema Kinye Mkali.
    Sinema hiyo inawashirikisha wasanii nyota kama Mohamed Fungafunga ‘Mzee Jengua’ Mobby Mpambala, Master Jumanne, Port Lee, Ben Blanco na kijana Albino Samson Samwel Makoba ‘Sammy White.

    0 comments:

    Post a Comment