NI Klabu za ligi kuu ya England zipo katika maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu huku baadhi ya klabu zikianza mchakato wa kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya kutumikia klabu zao.
NI Wakati winga wa Manchester United Angel Di Maria akiendelea kuwa gumzo kutokana na dalili za klabu yake ya Manchester kutaka kumtema, Bayern Munich imeanza mikakati ya kutaka kumsajili ili aitumikie msimu ujao.
0 comments:
Post a Comment