NI Kwenye maswali na majibu ndani ya Kikao cha Bunge kibachoendelea Dod0ma kuna vingi vinatokea, sasa hivi ni mijadala ya Bunge la Bajeti lakini ikifika wakati wa maswali na majibu kuna ishu nyingine huwa zinaibuliwa humohumo.. Leo niliinasa hii ya mashindano ya Miss Tanzania, kumbe kuna Wabunge hata hawayataki mashindano hayo kabisa !!
>>>Mimi sioni haja ya mashindano ya mamiss Tanzania.. Sisi tunaongozwa na maadili, unamuona mtoto wako anaenda kushindana mamiss, na ipo Kitaifa kabisa MheshimiwaFenela? Unamuona mtoto anavyodhalilishwa kwa sababu ya gari.. Jamani kama hamna gari bora mpande baiskeli au mpande pikipiki majumbani mwenu<<<
0 comments:
Post a Comment