+10 344 123 64 77

Wednesday, May 20, 2015

NTI LULU::: AWATIA TUMBO JOTO WAKE ZA WATU===>> ENDELEA

Anti Lulu Awatishia Wake za Watu

 NI Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.
"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee mabwana au wanaume zenu kwa mlioolewa,mimi mmakonde na Mbondei..matalia na kusaga meno" aliandika hivyo katika ukurasa wake wa facebook.

0 comments:

Post a Comment