+10 344 123 64 77

Wednesday, May 13, 2015

OOOOH!!! SOMA SABABU ZILIZO MFANYA KAJALA KUPIGWA CHUPA====>>soma zaidi

 kuna Jamaa Anayejulikana kama Godfrey_ck huko Instagram Ameibuka na Kudai alishuhudia tukio la Kajala Kupigwa Chupa Akiwa Club ..Kijana Huyo Amedai sababu kubwa iliyosababisha kajala kupigwa Chupa ni Baada ya Kushikwa Makalio na Shabiki mmoja alipokuwa akitoka Club, Kajala kwa Hasira aligeuka na Kumrushia kibao huyo kaka , kaka wa watu nae alikuwa ameshika chupa ya bia kwa hasira nae akampiga nayo usoni....Kama ni kweli basi haya meneno mengine yanayozushwa mtaaani kwamba ni Team Naniliu ndio wamefanya hivyo sio ya Kweli ..bali ni Ugomvi tu wa Kawaida ulitokea na kuamsha hasira za hao wawili .....
hayo ndo yaliyotokea hapo kwenye clab

0 comments:

Post a Comment