+10 344 123 64 77

Thursday, May 14, 2015

PLATINUMS Na NEY WA MITEGO WANA HAYA KATIKA MAHUSIANO===>>SOMA ZAIDI

Miongoni mwa maswali waliyoulizwa na B dozen wa XXL ni muda walioutumia kuandaa collabo hii ambapo Diamond alijibu kuwa wimbo huu uliwachukua siku 7(wiki) muda mwingine iliwalazimu kukesha studio ili tu kuukamilisha,wimbo huo unaweza kusikilliza kupitia Mkito.com mtu wangu lakini hapa nimekurekodia interview wakati wakihojiwa.

Ubishi waliouweka kuhusu Mapenzi au Pesa ulianzia kwa maswali na hapa Diamond anaanza kuelezea namna walivyokutana na mpenzi wake Zari,ukiwa Mtwara unaweza kusikiliza Clouds Fm kupitia 88.4.

0 comments:

Post a Comment