NI Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Baby Madaha ameamua kwasasa kijikita kwenye uigizaji zaidi kusimama kwa muda kufanya muziki kutokana na changamoto nyingi ambazo zinahitaji uvumilivu.
Baby Madaha alieleza kuwa moja ya changamoto za muziki, na hasa unapokuwa chini ya >>>manejimenti' ya kampuni ni kukosa uhuru wa maamuzi<<<<
0 comments:
Post a Comment