+10 344 123 64 77

Sunday, June 28, 2015

in music!!!!! HIKI NDO KITU KINACHOWAPA HOFU PAUL NA PETER(P-SQURE) NI HIKI HAPA KIJUE NA WEWE


PSQURRR 2NI WALE MAPCHA Peter na Paul Okoye kwa pamoja tunawajua kama P Square, ukubwa wa jina lao sio ndani ya Africa pekeyake… wana hits kibao ambazo zimewaweka kwenye ramaniya dunia pia.
Mafanikio yao yalianzia pale ambapo waliweka nguvu yao nyingi kwa kufanya muziki wakitumia lebo yao ya Square Records… Dec 2011 milango mingine mikubwa ikafunguka kwenye muziki wao, waliingia Mkataba kufanya kazi na lebo ya AkOn Konvict MuzikI==>>.. kazi kama Beautiful Onyinye waliyomshirikisha Rick Ross na ChoOp My M0ney zilipenya sana nje ya Afrika, watu wakazidi kuwajua !!

0 comments:

Post a Comment