Hii sio mara ya kwanza kupata stori kutoka Kenya kuhusu pombe ya kienyeji kuua watu, imeingia kwenye headlines tena leo June 24 2015 ambapo watu saba wamefariki na wengine wamelazwa Hospitali baada ya kunywa na pombe ya kienyeji.
Baada ya kunywa pombe hiyo walianza kutetemeka na wengine wakashindwa kutembea, hii ikafanya watu wa Usalama kuingia mtaa mmoja baada ya mwingine katika Kaunti ya Kiambu, Kenya
>>>>>>>>>>Macho yalianza kuuma, nikaanza kuumwa na tumbo” >>> aliongea mmoja watu waliokunywa Pombe hiyo na kuzidiwa.
Mtu mwingine nae anasimulia; >>>>>>>Nilivyokunywa nilijisikia tu ulevi wa kawaida, baadae usiku nikajisikia kutetemeka!!!!!!!!!!!!!!!
AFISA USALAMA WAKIKAMATA MADUMU YA POMBE HIZO.......
0 comments:
Post a Comment