+10 344 123 64 77

Tuesday, June 9, 2015

JOKETI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA ALLI KIBA!!!!! CLICK KUCHEKI SASA

Jokate Mwegelo Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Uhusiano Wake na Alikiba
WATU Wengi wanaamini kuwa Jokate Mwegelo na Alikiba kwasasa ni mtu na mpenzi wake japo wao hawajathibitisha hilo rasmi. Tetesi na hisia juu ya wawili hao kuzama kwenye dimbwi la mahaba zinachangiwa na picha zao kadhaa zinazoenea kwenye mtandao picha wa Instagram.
Lakini hatimaye Jokate amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia mahojiano yake na Global TV. >>Ni kwasababu Alikiba anapenda sana muziki na anajua muziki na anajua style mbalimbali.
Halafu ukitaka kuwa the best you obviously need to be around with the best<<< alisema Jokate kujibu swali la uhusiano alionao na King Kiba. “Mimi kwanza ni mchanga, kwahiyo nakaa naye karibu ili niweza kujijenga kimuziki, that is it.<< 
Hapo kama Jokate amekwepa hivi, tuendelee kusubiri tu muda utaongea

0 comments:

Post a Comment