Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya Nicki Minaj Kwenye interview alioifanya kipindi cha hapa nyuma Nicki alisikika akisema maneno haya kuhusu ex-boyfriend wake.
>>>>=== “Unajua nini, kama nisingekua rapper, leo ningekua nimeolewa na nimezaa nae watoto, na najua mimi kua msanii mkubwa leo kumesababisha vitu vingi viharibike hata yeye anajua..na inaniuma, unajua kwa sababu gani?… Umaarufu ni kitu kibaya sana, kwasababu nimeona uchu wa mtu (hata mimi) kutaka kua maarufu kuharibu vitu fulani katika maisha haswa katika mahusiano ya kimapenzi na sana sana kama mlikua tayari mnafocus yenu ya maisha..!!”
0 comments:
Post a Comment