JAPOKUWA mwaka huu wa 2015 umepita nusu yake ni mengi yametokea katika ulimwengu wa burudani ambapo waburudishaji wengi walioanza mwaka wakiwa ‘wapweke’ hivi sasa wana wenza wao waliofunga nao ndoa na wanategemea kufanya hivyo kabla mwaka huu haujaisha.
Mtandao wa Nigeriafilms.com umekuwa ukiweka kumbukumbu na sasa unaweza kuonyesha ndoa za ‘nguvu’ ambazo zimetamba katika nusu ya kwanza ya mwaka 2015.
Ndoa ya kimila iliwakutanisha Peter, mmoja wa mapacha wa kundi la muziki la Psquare alipomchukua mpenzi wake wa siku nyingi na mama
0 comments:
Post a Comment