Mwimbaji na Mtayar-ishaji wa Studio ya Sharobaro, Bob Junior.
PAMOJA na kufanya kazi ya kutayarisha ngoma kali za wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva lakini hata wao pia wamewahi kusikia na wanasikika kwenye nyimbo zao au walizoshirikishwa. Over the Weekend inakumegea baadhi yao;
Mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, rapa, Mensen Selekta.
JERRY BONIFACE >>>MESEN SELEKTA<<<
Ni mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, rapa, mjasiriamali, mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Studio ya De…
0 comments:
Post a Comment