Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua meya wa Ilala Jerry Silaa.
Ukibonyeza play hapa chini utazisikia dakika sita za mahojiano ya mwisho kati ya Deo Filikunjombe na millardayo.com kwenye msiba wa Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila ambapo alizungumzia kifo cha Mtikila pamoja na jimbo laLudewa.
0 comments:
Post a Comment