Siku hizi kumekuwa na Taasisi zinazohamasisha watu kufanya uzazi wa mpango.. wapo wanaofuata utaratibu lakini wengine hawafuati utaratibu huo kabisa.
Wapo wanaoamini kwamba nchi zilizoendelea wanafatilia sana ishu ya uzazi wa mpango, lakini kumbe wako wengine hawana mpango huo kabisa!!
Ninayo hii list ya mastaa ambao wana idadi kubwa ya watoto tofauti ya matarajio ya wengi.
Mwigizaji Chris O’Donnell na mkewe Caroline wana watoto watano Lily, Finley, Christopher, Maeve, na Charles.
Kris Jenner ana watoto sita Kim, Kourtney, Khloe, na Rob alizaa na mwanaume mwingine huku Kylie na Kendall Jenner akizaa na Bruce Jenner
Fashion model Kevin Federline ana watoto sita Peyton, Kori, Kaleb, Jordan, Jayden, na Sean,aliozaa na Victoria pamoja na Britney Spears aliyezaa naye mtoto mmoja.
Mwigizaji Steven Spielberg ameigiza movie mbalimbali kama Jurassic Park, Titanic, Schindler’s List,ana watoto sita Sasha, Max, Destry, Sawyer, Theo, na Mikaela,aliyezaa na Amy Irving pamoja na Kate Capshaw
0 comments:
Post a Comment