NI Miss Tanzania namba mbili 2006 na mmiliki wa kampuni ya ‘Kidoti’, Jokate Mwegelo aka Jojo, siku chache zilizopita alifanya ziara yake katika shule za secondari jiijini Dar es Salaam kama Jangwani, Azania, Benjamini Mkapa nk na kupokelewa vizuri na Waalimu pamoja na Wanafunzi. Je ziara yako ilifanikiwa kwa kiasi gani na changamoto ipi umeiona kwa wanafunzi?
“Ukweli ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana na Wanafunzi wanapenda sana mziki, huu ni mwanzo tu itakuwa na muendelezo wa kufanya ziara ili kuhamasisha na kuwapa nafasi Wanafunzi ili kuonyesha vipaji vyao, ingawa nimeona changamoto wanafunzi hawapendi kiingereza sasa hiyo ni nafasi kwa wao kujifunza zaidi ili waweze kufaulu vizuri kwenye masomo yao.” Jokate
Cloudsfm.com
0 comments:
Post a Comment