+10 344 123 64 77

Friday, May 22, 2015

ASAULA!!!! BAADA YA KUGOMBANA NA MTU WAKE====>>> NI AIBU TUPU

Gabriel Ng’0sha
Heeh! Makubwa! Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya.

Mwanamke aliyedaiwa kusahula baada ya kugombana na bwana'ke.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume tofauti ambapo amekuwa akifanya hivyo kwa kupanga chumba katika moja ya gesti jina kapuni

0 comments:

Post a Comment