Staa watu wa Bongo Movies Wastara Juma leo kupitia ukutrasa wake mtandaoni ametoboa kuwa staa wa Bongo Fleva Wastara Thomas ni ndugu kitu ambacho hata yeye mwenye kimemshangaza.
Wastara alibandika picha hiyo hapo juu ana kuiandikia maelezo haya yafuatayo.=====>>>fuatilia
Wastara wa 4, bibi Stara, mama Stara, dada Stara, mdogo Stara, ilo ndilo jina langu halisi nililopewa na bibi yangu huyu hapo mzaa mama usishangae kumuona Stara tomath hata mimi nilisahangaa jina ilo kalipata wapi lakini maswali yameisha leo baada kukutana kwenye msiba wa bibi yake mzaa mama ambaye ndio mwenye jina ilo lilonifikia mpka mim kuitwa stara ambaye nami ni bibi yangu Mungu amrehemu bibi yetu wajina letu.
Umejifunza nini hapo?
hebu tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment