Stop! Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemzuia Mwigizaji Tamrina Poshi ‘Amanda’ kufanya shoo aliyokuwa ameiandaa kufuatia kudaiwa kuwa kinyume na maadili na makundi husika yalishapigwa marufuku.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Amanda alifunguka kuwa shoo hiyo ilikuwa ifanyike wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mzalendo, Kijitonyama jijini Dar lakini ilishindikana kutokana na kupokea barua kutoka Basata ya kusitisha onesho hiLI
0 comments:
Post a Comment