NI YULE ===>>>Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amedokeza kuwa filamu ya Mama na Mwana imebeba ujumbe mzito wenye mfunzo ya namnagani tuishi.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, wastara ameeleza;
Mama na Mwana ni filamu mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ina mafunzo na kuelemisha maana kila siku binaadam tunatakiwa kunifunza kupitia kitu fulan nasi tupo kwa ajili ya kuelekeza kuonya kumpa mtu moyo.
Ukiangalia hii movie utasema kuwa hakuna binaadamu anayeishi kizani milele one day one time basi hii hapa kaa tayari yupo Wastara Juma, Yusuph Mlela, Hemed Suleiman, Jada na wengineo kibao
0 comments:
Post a Comment