+10 344 123 64 77

Tuesday, June 2, 2015

ROSE NDAUKA!!!! WALA SINA WAZO NA WALA SIWAZII KUKOSA TUZO KATIKA FILAM MWAKA HUU

Rose Ndauka: Sisikitiki Kukosa Tuzo za Filamu

NI Wakati tuzo ya mwigizaji bora wa kike ikienda kwa Irene Paul, mwigizaji mwenzake, Rose Ndauka ameibuka na kukubali matokeo hayo huku akidai wakati alipopata tuzo nyingine wengine hawakupata.
Rose Ndauka alikubali kwamba aliyestahili ni Irene Paul kwa kuwa ni changamoto kwake na kwa wasanii wengine.
>>Nakubaliana na matokeo sisikitiki kukosa tuzo hiyo, siwezi kuwalalamikia wananchi kwani wao ndio walioona filamu zilizoshindanishwa wakachagua<< alisema Rose na kuongeza:
>>Kwenye tuzo nyingine mbona huwaga nashinda nao hawachukii kushinda kwangu, hivyo nami sipaswi kuchukia nakubaliana na matokeo nitafanya kazi nzuri zaidi ili nichukue tuzo hiyo mwakani,<< alimaliza Rose.

0 comments:

Post a Comment