+10 344 123 64 77

Tuesday, June 23, 2015

WIZKID!!!YOTE NIFANYAYO MNI KWA AJILI YA MWANANGU TU..................

 Wizkid.
Lagos Nigeria

NI MWANAMUZIKI  mwimbaji maarufu  wa Nigeria, Wizkid, amesema hataki maisha ya anasa ya kutumia fedha ovyo, bali anataka kuonyesha upendokwa watu wake, jambo ambalo linamlazimu kufanya kazi kwa nguvu.
Wizkid akiwa na mwanaye.
Pamoja na kwamba ana mpango wa kuanzisha taasisi ya kuwasaidia watu wenye matatizo, mwimbaji huyo amesema hakuna kitu chenye thamani zaidi kwake kuliko mwanaye,.........

0 comments:

Post a Comment