WAKATI mashabiki wakifikiri mtafaruku kati ya mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy ukiongezeka, D’banj aliwashangaza watu wote kwa kusema tuzo yake aliyopata katika mchuano wa MTVMAMA huko Afrika Kusini ni zawadi kwa prodyuza wake wa zamani, Don Jazzy.
Mwanamuziki huyo ambaye anajulikana kama The Kokomaster D’banj alishinda tuzo ya ‘Evolution Award’
0 comments:
Post a Comment