+10 344 123 64 77

Thursday, July 30, 2015

MASTAAA HAWA WAMFUATA MH..UKAWA................BOFYA KUWATAZAMA

NI shidaah! Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) kukaribishwa katika  Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mastaa mbalimbali Bongo wameamua na wengine kushawishiwa kumfuata wakiamini katika uwezo wake kiuongozi, Amani limenasa mpango mkakati kamili

0 comments:

Post a Comment