+10 344 123 64 77

Monday, July 20, 2015

WALE MAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA STAKISHARI NA KUPORA SILAHA 16 WAKAMATWA...SOMA ZAIDI HAPA



Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni zaidi ya 25 katika kituo cha mafuta cha Lake Oil ambazo zilikuwa katika moja ya magari yaliyoingia kujaza mafuta kituoni hapo. Katika gari la Polisi ni watuhumiwa hao wa ujambazi Taarifa zaidi. 

 Huyu ni muuza CD ambaye alikuwa katika gari dogo aina ya Toyota Pick Up na mara majambazi walipoivamia yeye aliruka na kuanza kutimua mbio na Polisi kudhani ni jambazi linakimbia hivyo kuanza kumfukuzia na kumkamatia Uwanja wa mpira jirani na soko la Vetenari.


 Mmoja wa watuhumiwa akivuja damu huku mwenzake akiwa amelala chini

0 comments:

Post a Comment