+10 344 123 64 77

Wednesday, July 29, 2015

WEMA!!! HIZI NDIO SABABU KUU ZILIZONIFANYA KUKOSA................



Kufuatia kupigwa mwereka kwenye Ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amekiri kwamba kilichomponza katika kinyang’anyiro hicho ni skendo za ngono hivyo kwa sasa atakuwa makini ili asichafuke.

0 comments:

Post a Comment