+10 344 123 64 77

Friday, September 11, 2015

BARAKA DE PRICE AFUNGUKA HAYA JUU YA UHUSIANO WAKE NA MASOGANGE....BOFYA KUJUA ZAIDI

agnesmasogangegerald1.jpg
NI YULE Msanii wa muziki, Baracka Endrew >>Baracka De Prince<<< amefunguka kuwa kufuatia skendo iliyokuwa inamkabili ya kutoka kimahaba na Video Queen maarufu Afrika, Agness Gerald ‘Masogange’ ameamua kujiweka naye kando mdogomdogo ili kuepusha maneno kutoka kwa wambeya.
Akichonga na Ijumaa juzikati, Baracka alisema anajua watu wanahisi ‘anabanjuka’ na ‘mtoto’ huyo kutokana na ukaribu wao hivyo ameona ni vyema afanye liwezekanalo ili kuondoa mawazo hayo kwa watu.
“Kiukweli yule wala siyo demu wangu na kwa kuwa huwa sipendi

0 comments:

Post a Comment